Manufacturing
Kuunda Gitaa/Spika na Mafunzo ya ufundi ajira kwa vijana na Wana wake
1.Tanzania tuna vyuo vya mafunzo ya kupiga vyombo vya mziki.Hatuna Karakana za kuunda Gitaa /Box za Spika na kutengeneza vifaa hivi vya mziki na mafunzo ya ufundi kwa vijana
2. Karakana hii na mafunzo inatoa mchango mkubwa kwa vijana ki ajira,/mapato /kupata ujuzi/na mziki ni Tiba ya afya ya akili na mwili pia kwa binadamu.
3. Mziki ni kishawishi kikubwa cha kuwa kuwakusanya watu kwa pamoja na kuwa inabainisha kuwa na umoja na ushirikiano.
4. Fursa hii ita changia kupatikana kwa mapato kwa mtu mmoja mmoja na taifa kwa ujumla.
Above KSH 5,000,000